WELCOME TO ILONGA TEACHER'S COLLEGE
|
COLLEGE MOTTO:
EDUCATION IS POWER |
|
ILONGA TEACHER'S COLLEGE
Our college has so many attractive areas which are surrounded by Kaguru mountains. Many people used to compare the environment with heaven though no one has ever gave a feed back.
Our college has so many attractive areas which are surrounded by Kaguru mountains. Many people used to compare the environment with heaven though no one has ever gave a feed back.
|
CHUO CHA UALIMU ILONGA
Chuo hiki kilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1970, kikiwa kinaendesha kozi fupifupi hadi mwaka 1995 serikali ilipokibadilisha na kuanza kutoa mafunzo ya ualimu daraja la A. Serikali pamoja na wadau wengine wa elimu wamefanya jitihada kubwa katika kukiboresha Chuo kwa kuongeza majengo na kuboresha miundo mbinu mbalimbali kwakuwa majengo ya awali yalibinafsishwa kutoka kwa wamisionari. Chuo kimekuwa kikifanya vizuri kitaaluma na katika suala zima la utunzaji wa mazingira kwa kiwango cha juu. |
THE COLLEGE VISION:
To be the leading College in the Nation in preparing competence and effective teachers for the betterment of the Nation. THE COLLEGE MISSION: To promote conducive teaching and learning environment for developing quality human resources by using science and technology and maintain National values Angalia matokeo ya semesta ya pili Agost/Sept-2016 kwenye ukurasa wa SE -results hapo juu.
|
DIRA YA CHUO
Kuwa chuo kinachoongoza kitaifa katika kuandaa walimu bora na fanisi kwa manufaa ya Taifa DHAMIRA YA CHUO Kuandaa mazingira mazuri ya kujifunzia na kufundishia,kuendeleza walimu kitaaluma kwa kutumia sayansi na tekinolojia pia kuhifadhi tunu za Taifa |